NATAFUTA KIKI LYRICS RAYMOND

verse 1 Nataka nitoke kwenye gazeti, niuze sura Niseme ninatoka na Jokate Kitandani kisha na Fezakessy ama Snura Nilete matata mpaka kwa Grace Kwenye radio zote mpaka runinga Nitangaze kukuvimba kwamba Lulu ana yangu mimba Au niwatukane wote wanaoimba kwa dharau na kuvimba Mpaka yule anayejiita simba Niseme madam Rita katetema akiniona anashindwa ata kuhema Au Venessa kanena ananitaka na Jux atatemwa Nataka nifanye sinema kwa waliozaa na Nay, siwema Kiki ipo njema au niende kwa Sepetu Wema (CHORUS) Ati ntokejee.... Mwenzenu ntokejee... Ati ntokeje Mwenzenu ntokejee Naskia uwoya mkalii Wanasemanga Shishi asali Wolper atakubali akimwagikia Mo chai Ninatafakari kichwani maswali Nimtongoze Zari akijua Mondi si atari eeeh Rose ndauka kaja na bia adi na salama Mose Iyobo asiye ninunie kwa aunt Lawama Mkubwa Fella Tale Salam leaders Mnizushie pesa wamenipiga Chege na Madee wasije nipiga Iyo weeh nataka nibadili ratiba Kwangu isijeleta misiba Nitoke wasafi niende kwa kibaa yeahh (CHORUS) Nataka nifanye masegere eeh Segere ooh segere Segeree segeree ooh segere Segeree segeree ooh segere Yani bongo nzima makelele eeh Segere ooh segere segere Segere ooh segere segere ooh segere Segere segere ooh segere Uwii nikinukishee kinoma noma Segere ooh segere segere Segere ooh segere segere Macho kivimba wataisoma Segere ooh segere eeeh..........
First

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng